Diamond Platnumz Kutumbuiza Sherehe Za Tuzo Za CAF 2019
Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz anatarajia kutumbuiza katika sherehe za tuzo ya CAF 2019 zitakazofanyika Januari 07, 2020, mjini Hurghada nchini Misri.
Diamond ameshwahi pia kutumbuiza katika siku ya uzinduzi wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika iliyofanyika Gabon mwaka 2017.
Na nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya Cameroon Samuel Eto’o ndiye amechaguliwa kuongoza sherehe hizo.
Toa Maoni Yako Hapa