Sambaza

Vanessa Ataja Siku Ya Kuachia Podcast Yake

Staa wa muziki nchini, mwanadada Vee Money, ajiandaa kuja na Show yake mpya iitwayo “Deep Dive with Vanessa Mdee” ambayo itakuwa kwa mfumo wa Podcast.

Show hiyo itaanza kuruka Januari 7 ambapo itakuwa Jumanne ya wiki hii.

PodCast ni aina ya Show ambayo uwasilishwaji wake ni kwa njia ya mfumo wa Sauti bila picha wala video ni Sauti tu.

Kupitia Show hiyo Vanessa ameeleza, ndani yake kuna mengi ya kujifunza, ambapo atakuwa akiongelea kuhusu jamii, maisha yake binafsi na mengine mengi.

Kwa sasa Vanessa ameachia trela ya Show hiyo iliyopo kwenye Youtube channel yake.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey