Video – Kwa Mara Ya Kwanza Whozu Afunguka Juu Ya Mahusiano Yake Na Tunda
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Whozu kwa mara ya kwanza amefunguka juu ya mahusiano yake na video vixen maarufu nchini anayejulikana kama Tunda, Kupitia kipindi cha Bongo255 kinachorushwa na 255GlobalRadio Whozu aliweka wazi kila kitu kuhusu mahusiano hayo…
Toa Maoni Yako Hapa