Drake Atamba Kuupaisha Muziki Wa Afrobeats
Drake amejinasibu kwamba ameukuza na kuutangaza vyema muziki wa Afrobeats ambao chimbuko lake ni Afrika.
Kwenye mahojiano na Rap Radar, Drizzy ametamba kuupaisha muziki huo katika level za kimataifa hasa kupitia ngoma zake kama ‘One Dance’ na ‘Come Closer’ ambazo zote alibadilishana mashavu na Wizkid.
Drake amejinasibu kwamba ameukuza na kuutangaza vyema muziki wa Afrobeats ambao chimbuko lake ni Afrika. pic.twitter.com/IiaMYV7Hlo
— 255 Global Radio (@255globalradio) January 7, 2020
Toa Maoni Yako Hapa