Sambaza

Kanye West Sasa Kuileta Afrika ‘Sunday Service’

Kanye West na Kwaya yake waliadhimisha mwaka mmoja wa huduma ya ibada (Sunday Service) Jumapili ya January 5, 2020, ambayo wamekuwa wakiitoa kwenye miji tofauti tofauti nchini Marekani.

Sasa taarifa ikufikie kwamba #KanyeWest ametangaza mpango wake wa kuipeleka huduma hiyo duniani kote ikiwemo bara la Afrika na Ulaya.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey