Sambaza

Lil Wayne Kuuaga Ukapela, Akaribia Kuchukua Jiko

Rapper Lil Wayne ameripotiwa kumvisha Pete ya uchumba mpenzi wake mpya La’Tecia Thomas. Mrembo huyo ambaye ni mwanamitindo wa nchini Australia amekuwa akituonesha Pete hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram bila kificho tangu mwezi Oktoba mwaka Jana.

Wawili hao wanaweza kuwa walikutana mtandaoni mara baada ya Lil Wayne kumtokea DM, kwenye moja ya mahojiano yake aliwahi kuweka wazi kuwa alimuona mrembo mmoja kwenye televisheni na kutamani kuonana naye Ana kwa Ana


“I saw someone on TV and I was like, ‘I don’t know how to get in touch with this person, I met a very, very special person.” alisema Wayne.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey