Sambaza

Roma Athibitisha Padri Kuomba Wimbo wa Mkombozi Uimbwe Kanisani


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Roma Mkatoliki kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost meseji alizochat na Padri wa kanisa moja ambalo hakuweka wazi linapatikana wapi ingawa jina la kanisa hilo ni Parokia ya Mtakatifu Veronica.

Katika ujumbe huo Roma ameonesha kuwa Padri huyo alikuwa akimuomba Roma autumie wimbo wake wa Mkombozi kanisani kwani alimwambia kuwa vijana wake wa kwaya waliuomba wautumie kwenye Ibada ya Parokiani.

Mkombozi ni wimbo wenye maudhui ya kidini hususan ya Kikristo na umezungumzia mambo mengi ambayo yamegusa hisia za Watanzania wengi.

Wimbo huo ameshirikiana na One Six.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey