Breaking: Matokeo Kidato cha Nne Yatangazwa, Haya Hapa
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, Dkt. Charles Msonde ametangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, Maarifa (QT) na Upimaji wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili iliyofanyika 2019.
Dkt. Msonde amesema mtihani wa kidato cha nne jumla ya watahiniwa 340,914 sawa na asilimia 80.65 ya watahiniwa 422,722 wameefaulu mitihani yao.
Watahiniwa hao ni sawa na ongezeko la asilimia 1.38 ikilinganishwa na watahiniwa 284,126 sawa na asilimia 79.27 waliofaulu mtihani huo mwaka 2018.
Bonyeza Link hiyo kutazama matokeo ya Shule yako.
Bofya Hapa ===> MATOKEO KIDATO CHA NNE
Toa Maoni Yako Hapa