List Kamili Ya Washindi Wa Tuzo Za Sound City MVP Mwaka 2020
Hii ndio orodha kamili ya washindi wa tuzo za Sound City MVP mwaka 2020. Kwa bahati mbaya mwaka huu hakuna Mtanzania ambaye ameondoka na Ushindi.
Best New MVP
Rema (NG) – Winner
Best Collaboration
Gugulethu – Prince Kaybee [SA] – Winner
Best Pop
JoeBoy [NG] – Winner
Best Hip Hop
KHALIGRAPH Jones (KE) – Winner
Best Duo
DopeNation [GH] – Winner
African Producer of the Year
Rexxie (NG) – Winner
Best Female MVP
Teni [NG] – Winner
Best Male MVP
Burna Boy [NG] – Winner
Digital Artist of the Year
Davido [NG] – Winner
Listener’s Choice
Jealous – Fireboy DML (NG) – Winner
Viewers Choice
Soapy – Naira Marley (NG) – Winner
Video of the Year
49-99 – Tiwa Savage by Meji Alabi (NG) – Winner
Song of the Year
Killin Dem – Burna Boy & Zlatan (NG) – Winner
African Artist of the Year
Burna Boy [NG] – Winner
African DJ of the Year
DJ Spinall (NG) – Winner
Tuzo hizo za tatu kwenye mfululizo wa utowaji wake zimefanyika usiku wa kuamkia leo nchini Nigeria na kushuhudia performance kali ikiwemo pia ya Mtanzania Diamond Platnumz.