Sambaza

Kobe Bryant na mwanae Gigi wamezikwa kwa siri February 7

Kama wewe ni miongoni mwa watu waliotamani kushuhudia mazishi ya mchezaji wa Basketball Marehemu Kobe Bryant na mwanae Gigi taarifa ikufikie kuwa tayari wawili hao wameshazikwa kwa Siri siku ya februari 7.

Taarifa iliyoripotiwa inaeleza kuwa Kobe na mwanae Gigi wamezikwa na walioshiriki mazishi hayo ni wanafamilia pamoja na watu wa karibu sana.

Hata hivyo wamepanga February 24 mwaka huu  ndiyo iwe siku mahususi kuomboleza kifo cha Kobe Bryant na Mwanae itakayofanyika Staples Center. (Wamechagua 24 Sababu ni number aliyowahi itumia Kobe Kwenye maisha yake ya kikapu)

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey