Sambaza

Muna Love “Mnataka Nife kwa Presha zenu?

Muna arudi rasmi katika mtandao wa kijamii wa instagram baada ya siku chache kutangaza mapumziko kwa muda.

Muna amepost picha akionekana na vazi la kiislamu ambapo habari za chini chini zinadaiwa kuwa ameamua kuachana na ulokole na kuamua kufunga ndoa ya kiislamu na mwanaume wa kiarabu

 Kutokana na kushambuliwa na mashabiki muna ameamua ateme nyongo na kuwaambia kuwa “Matusi yote mnayonitukana , kejeli, dharau nimewakosea nini ? Nimekosea wapi mnataka nife kwa presha zenu? na maneno makali” .

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey