Sambaza

Nawashangaa Sana Wanao Ondoka WCB WASAFI Eti Wanasema Wananyonywa

“Nawashangaa sana watu wanao ondoka WCB WASAFI eti wanasema wananyonywa… Yani mimi nipo nje napata sapoti ya kawaida nafaidika saana je ikitokea nimesainiwa niingie ndani sasa si ningefurahi saana hao wanaosema wananyonywa sijui wanahitaji nini labda hatujui.”
Ameyasema hayo Msanii “Dullysykes Amefunguka

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey