Hemedy PHD Afunguka Kuhusu Kuoa Endapo Akifikisha Miaka 45 ili Wapeane Dawa za Presha
Ni Headlines za staa kutokea kwenye uigizaji Hemed PHD ambae muda huu kupitia kipindi cha Ala za Roho ya @divatheebawse amefunguka kuhusu umri atakaofikia na kuchukua maamuzi ya KUOA
Hemedy amesema anataka kuoa akifikisha miaka 45 hivi na mke wake awe na miaka kuanzia 41 mpaka 46 hivi, amedai umri huo ni sahihi ili wabembelezane kusubiri rehema za mungu huku wanasaidiana kupeana dawa za presha….
“Kwa sasa nina mambo mengi nataka kufanya sinta weza kutulia kwenye ndoa so ili kusave dramas na kumuumiza mwenzangu ni heri nisubiri nitakapofikisha miaka hiyo” Hemedy
Toa Maoni Yako Hapa