Bata la Ommy Dimpoz nchini Marekani..Anaswa LIVE na Miss Universe
Ni headlines za msanii wa Bongo Fleva ambae alipata mwaliko wa kushuhudia michezo ya NBA All Star 2020 itakayofanyika kuanzia leo FEB 15 na FEB 16
SASA pichani amekutana ma mrembo mwenye umri wa miaka 30 Miss Universe anaeishi Ujerumani ?Piawurtzbach
Bata la Ommy Dimpoz nchini Marekani:
Toa Maoni Yako Hapa