Sambaza

Lulu Michael na Majizzo Wachoka Kusubiria Mtoto..Hichi ndio Walichoamua Kufanya

Ikiwa bado tunaendeleza mwezi wa wapendanao(Valentine’s) huku kila mmoja akijaaribu kuonyesha namna alivyosherehekea na ndugu jamaa na marafiki/wapenzi wao

Mkurugenzi wa E-media @majizzo yeye ametupostia picha ya keki ambayo inaoneka dhahiri kwamba imetoka kwa mchumba wake @elizabethmichael na suala lililochukua headlines na kuacha maswali vichwani mwa watu ni kuhusiana na caption ya @majizzo ilioashiria kuwepo kwa uwezekano wa wawili hao kuwa katika mpango wa kutafuta mtoto hivi karibuni.
Hii imezidi kuhisiwa hivi kutokana na jibu la @elizabethmichael Katika post hiyo ambapo limeonyesha kama wote kwa pamoja wapo tayari na wamechoka kusubiri Katika hili
Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey