VIDEO: Elton John amwaga machozi stejini “Nimepoteza sauti siwezi kuimba inabidi niondoke”
Weekend hii haijaisha vizuri kwa Mwanamuziki nguli na mkongwe Dunian, Elton John ambaye alishindwa kuendelea na show yake nchini New Zealand kutokana na changamoto zakiafya zinazomkabili msanii huyo ambaye anadaiwa kusumbuliwa na tatizo la Mapafu ( Pneumonia).
Elton John alijikuta akimwaga machozi kwenye stage baada ya kujikuta akipoteza ya kuimbia ndipo ikabidi awaeleze mashabiki wake kuwa hataweza kuendelea na show.
Toa Maoni Yako Hapa