Sambaza

50 Cent: “Nitakuwepo Episode Ijayo” Muvi Ya “For Life”

NYOTA wa hip hop 50 Cent ametumia ukurasa wake wa twitter kuthibitisha kuwa wapenzi wa muvi watamuona kwenye filamu mpya  iliyoanza mapema mwezi Februari mwaka huu. “For Life” ndilo jina la muvi hiyo ambayo mpaka sasa tayari vipande vitano vimerushwa kwenye kituo cha ABC.

Wapenzi wengi wa muvi walitarajia kumuona 50 Cent mapema zaidi ila mashaka yalianza kuibuka kama kweli 50 Cent amehusika kwenye filamu hii.

Hata hivyo watayarishaji wa “For Life” wamethibitisha kuwa 50 Cent ameigiza kwenye muvi hiyo na ameigiza kwa jina la “Cassius Dawkins”.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey