Sambaza

Burna Boy Kaamua, Sasa Anadondosha Albamu Mpya ‘Twice as Tall’

MUZIKI umefika patamu! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kutokana na Mkali wa Muziki Barani Afika, Burna Boy ambae baada ya albamu yake ya The African Giant kufanya vizuri sokoni sasa ameanika mpango wake kuwa anatarajia kuachia albamu yake nyingine aliyoipa jina la Twice as Tall.

 

Staa huyo ambaye ni raia wa Nigeria ameweka wazi taarifa hizo kupitia akaunti yake ya Twitter baada ya shabiki kumuuliza swali na kupelekea kuitaja rasmi mwezi atakaoachia albamu yake hiyo mpya.

 

“Najisikia vibaya sana mama yangu kwenye muziki, Angelique Kidjo alinieleza kila kitu ninachotakiwa kuelewa kuhusu tuzo za Grammys na sasa twice as Tall ndio jina la album yangu inayofuata nitakayoiachia mwezi Julai,” alisema Burna Boy.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey