Sambaza

Drake Ampagawisha Oprah

Ni wiki kadhaa sasa tangu wimbo wa msanii Lil Yatchy na DaBaby uitwao “Oprah’s Bank Account” utoke, hatimaye mwanamama mwenye ushawishi mkubwa nchini Marekani Oprah Winfrey ametia neno kuhusu wimbo huo ambao umeitwa kufuatia jina lake.

Wimbo huo ambao Drake ameshirikishwa umepenyamasikioni mwa Oprah na sababu kubwa iliyomfanya Oprah apupende wimbo uo ni uwepo wa Drake.

Alipoulizwa anauzungumziaje alijibu kwa kusema “Ninaupenda, ninaupenda, ninaupenda sana ni vizuri kuwa ndani ya wimbo wa Drake”

Hata hivyo Oprah alikiri kuwa bado hajatazama video ya wimbo huo ila anaamini ni nzuri.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey