Nyota 10 Waliotoa Mchango Kupambana na Corona
Wakati bado dunia inatafuta suluhisho la ugonjwa hatari wa Covid – 19, baadhi ya watu maarufu wamekataa kukaa tu na kutazama bali wameamua kutoa michango mbalimbali ili kusaidia mapambano dhidi ya Corona.
Hapa tunakuletea nyota 10 waliotoa michago kusaidia mapambano hayo.
- Oprah Winfrey – Dola milioni 10 = 23 bilioni tsh
- Michael Jackson Foundation – Dola Laki 3 = 694 milioni tsh
- Arnold Schwarzenegger – Dola milioni 1 = 2.3 bilioni tsh
- Pep Gurdiola – Euro milioni 1 = 2.4 bilioni tsh
- Lionel Messi – Dola million 1 = 2.3 bilioni tsh
- Christiano Ronaldo – Dola milioni 1 = 2.3 bilioni tsh
- Roger Federer – Dola milioni 1 = 2.3 bilioni tsh
- Ademola Adeleke (Baba wa Davido) – Dola milioni 2 = 4.6 bilioni tsh
- Rihanna – Dola milioni 5 = 11.5 bilioni tsh
- Kim Kardashian – Dola milioni 1 = 2.3 bilioni tsh
Toa Maoni Yako Hapa