Sambaza

Katty Perry Afichua Jinsia ya Mwanaye kwa Mara ya Kwanza

Kama ulikuwa na mpango wa kumpelekea mkali wa Pop Katty Perry zawadi kwa ajili ya mtoto wake anayetarajiwa kuzaliwa hivi karibuni basi hakikisha ni zawadi yenye rangi ya Pink kwani motto huyo ni wa kike.

Msanii huyo aliweka picha kwenye ukurasa wake wa instagram kasha akaandika maneno machache yanayosema “Ni mtoto wa kike.”Wengi wanaamini kuwa ni njia ya kufikisha ujumbe kuwa mtoto wanayemtarajia ni wa kike.

Hii ni mara ya kwanza mwanamuziki huyo anweka wazi juu ya jinsia ya mtoto huyo ambaye anatarajiwa kuzaliwa siku za usoni.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey