Sambaza

Martha Baraka: Mungu Hawezi Kumuaibisha Rais JPM

MSANII wa injili, Martha Baraka, akifanya mahojiano na mtangazaji wa 255 Global Radio kwenye kipindi cha Sunday Soul food amesema  “Rais Magufuli amefunguliwa neema ndiyo maana hajakataza watu kufanya ibada.

“Watu wanasema rais ameruhusu mikusanyiko lakini mimi nasema Mungu hawezi kuaibisha neno lake kwa kuwa rais amechukuwa imani yake kuruhusu watu waende kanisani kuabudu basi Mungu hawezi kumuaibisha rais.”

Mbali na hayo msanii huyo pia hakusita kuzungumzia ndoa yake ambapo alisema “hata mimi nimepitia misukosuko kwenye ndoa lakini haimaanishi siombi wala si sababu ya mimi kuacha kufanya huduma.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey