Sambaza

Filamu Mpya Ya 50 Cent “BMF” Yathibitishwa Rasmi

50 Cent alitangaza ujio wa filamu yake mpya mwanzoni mwa mwaka jana na sasa Starz wametangaza rasmi kuwa itatoka hivi punde na itarushwa na kampuni hiyo.

Filamu hiyo ambayo imejikita kwenye simulizi ya kweli imepewa jina la “Black Mafia Family” kwa kifupi BMF na imeongozwa na 50 Cent pamoja na Randy Huggins ambaye pia ndiye mwandishi wa filamu hiyo.

“Hii ni kazi ambayo 50 Cent anaipenda sana na tunafurahi kushirikiana naye kuipa uhai kazi hii” alisema mwanzilishi wa kampuni ya Starz huku 50 Cent akiongezea kwa kusema “niliwaambia kuwa filamu ya BMF inakuja na itakuwa ni filamu kubwa sana.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey