Sambaza

Kylie Jenner Ndio Tajiri Namba 1 kati ya 10 wadogo zaidi Duniani

Mwanadada Kylie Jenner mwenye umri wa miaka 22 ndiyo nambari moja kwa utajiri kati ya matajiri 10 wadogo zaidi duniani.

Mrembo huyo ambaye alipata umaarufu kutokana na umaarufu wa familia yao ila yeye binafsi aliamua kugeuza kipaji chake cha urembo na ulimbwende na mapenzi yake ya kujiremba kuwa biashara ambayo leo hii imepelekea jarida la Forbes kumtangaza kama tajiri wa kwanza mdogo zaidi.

Hata hivyo kati ya matajiri hao kumi ni watatu tu waliopata utajiri kwa juhudi zao binafsi na kati ya hao watatu Kylie Jenner pia yumo hivyo kumuongezea heshima zaidi.

Utajiri wa Kyle Jenner ni dola za Marekani Bilioni 1.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey