Sambaza

Pam D Azungumzia Ukaribu Wake na Roma, Selekta

MWANADADA anayetamba na kibao chake cha ‘Umeniweza’,  Pam D,  alichomshirikisha Mesen Selekta, amefunguka mengi alipopiga stori na watangazaji wa kipindi cha Bongo 255 cha +255 Global Radio ikiwemo ukaribu wake na msanii wa kufoka, Roma.

Alipoulizwa kuhusu ukaribu huo, Pam D alijibu kwa kusema “Roma ni rafiki yangu sana lakini si kimapenzi, ni mtu anayependa utani.”

Pia kwenye upande mwingine msanii huyo amezima uvumi kuwa yeye na Mesen waliwahi kugombana. Alikanusha hilo akisema yeye na mwanamujziki huyo wanapatana sana ila watu tu walitegemea kwa sababu wao ni ndugu basi muda wote awepo studio kwa Mesen au asifanye kazi na watu wengine.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey