Sambaza

Quavo Atambulisha ‘Lebo’, Asajili Wasanii Watatu

MSANII kutoka kwenye kundi la Migos, Quavo,  ametumia muda wa kukaa karantini kufanya mambo binafsi tofauti na mambo yanayohusu kundi hilo.

Wakati mashabiki wa muziki wakiwa wanasubiri album mpya ambayo inatarajiwa kutoka siku za usoni kutoka kwa wakali hao, msanii Quavo yeye ameamua kuwashangaza wengi baada ya kutangaza kuanzisha kampuni ambayo itasimamia wasanii iitwayo “Huncho Records.”

Msanii huyo alitoa tangazo hilo kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram ambapo pia ametangaza wasanii wawili na kundi moja la muziki.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey