Sambaza

One Africa Festival Yampambanisha Zuchu na Miamba Hii

Ikiwa ni takribani wiki moja pekee tangu msanii Zuchu atambulishwe na Diamond Platnumz kama moja ya wasanii wa Wasafi tayari nyota ya msanii huyo imeanza kung’aa.

Hii ni baada ya moja kati ya makampuni makubwa ya kuandaa matamasha makubwa duniani iitwayo One Africa Music Festival  kumpambanisha na miamba mipya ya Africa kwa kuuliza ni nani kati ya hao ni mfalme wa kizazi kipya.

Wasanii ambao Zuchu ameshindanishwa nao ni pamoja na Rema, Sho Madjozi, Fireboy, Joeboy na Oxlade ambao wote ni wasanii waliowasha moto haswa kipindi cha hivi karibuni.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey