Sambaza

Mzee Yusuph Arudi Mjini Rasmi

Mzee Yusuph ambaye aliwahi kutamba sana kwenye soko la muziki wa Taarab kabla ya kupumzika kufanya muziki, hatimaye amerudi na album mpya kabisa.

Mwanamuziki huyo ambaye mwanzoni mwa mwaka huu aliwaambia shabiki zake kuwa atarudi mjini ila hakusema anarudi kufanya nini, sasa imekuwa wazi kuwa amerudi kufanya muziki ila sio Taarab tena bali Qaswida.

Mzee Yusuph ameachia rasmi album yake inayoitwa ‘NarudiKwako Allah” ambapo boomplay wamedhibitisha kwa kuweka taarifa ya kutoka kwa album hiyo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey