Sambaza

Offset Ampoteza Mjomba Kwa Corona

Offset ametoa taarifa za kusikitisha juu ya msiba w mjomba wake ambaye amefariki baada ya kuugua Corona kwa muda.

Rapa huyo aliweka habari hizo kwenye ukurasa wake wa instagram kwa kuandika “hii Corona imemuua mjomba wangu” kisha akaweka na kikatuni cha kulia.

Japo bado haijafahamika ni upande gani wa familia yake anatokea mjomb wake huyo, ila kwa vyovyote kundi zima la Migos litakuwa pamoja kwenye msiba huu kwani wote ni ndugu wa damu.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey