Sambaza

K2GA Aweka Wazi Hatima Yake Kings Music

Msanii wa Kings Music K2ga ameandika kwa mara ya kwanza tangu wasanii wenzake Killy na Cheed watoke kwenye lebo hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa instagram K2ga amesema kuwa amekuwa akitaka kuongelea sula la wasanii wenzake kuondoka ila imekuw ngumu kwake sababu yeye pia amehuzunika.

Anasema baada ya kutafakari kwa kina ameamua kubaki kwenye lebo hiyo kwani Alikiba ndiye aliyemtambulisha kwa mashabiki wake na anaamini kuwa yupo kwenye mikono salama.

Pia amewaomba mashabiki wamuombee Alikiba ili asimchoke na waendelee kufanya kazi pamoja.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey