Eminem Asherehekea Miaka 12 Bila Kutumia Vilevi
Rapa nguli wa Marekani Eminem, amefikisha miaka 12 bila kutumia kilevi juzi tarehe 21 Aprili.
Rapa huyo amekuwa akizungumza wazi namna alivyopambana na madawa ya kulevya aina ya Valium, Vicodine na methadone. Mwaka 2007 alizidisha kipimo cha matumizi ya madawa hayo.
Eminem amewasifu wanaye kwa kumsaidia kuachana na madawa hayo ambapo amekuwa akipewa upendo wa kutosha kutoka kwako.
Toa Maoni Yako Hapa