Sambaza

R Kelly Akataliwa Kutoka Jela TENA, Mwenzake Akutwa na Corona

JAPOKUWA hali ya virusi vya Corona ni tishio kwa dunia nzima, hiyo haijaweza kumshawishi hakimu kumpa ruhusa msanii R Kelly kutumikia kifungo cha nje.

Kwa mara ya pili sasa mwanamuziki huyo pamoja na jopo la wanasheria wake wanakataliwa kupewa fursa hiyo na hakimu ameeleza kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kuonyesha kuwa R Kelly yupo kwenye hatari ya kuambukizwa virusi vya Corona.

Licha ya mmoja wa wafungwa ambaye yupo chumba kimoja na R Kelly kupelekwa hospitali baada ya kukutwa na maambukizi ya Corona, bado hakimu alisema “hatuna hakika kama mshtakiwa mwenye historia na uwezo wa kukutana na mashaidi hatofanya hivyo.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey