Sambaza

Kanye, Kardashian Wabadilishana Majukumu kwa Siku Moja

VYANZO mbalimbali vya habari vimenasa tukio la ijumaa ya tarehe 24 Aprili, 2020,  ambapo Kanye West aliwapeleka watoto wake kwenye mji wa Wyoming huku mkewe Kim Kardashian akibaki nyumbani.

Tukio hilo lilileta ukakasi kwa waandishi wengi wa habari na kutaka kujua sababu zilizofanya msanii huyo kuondoka na watoto na kumuacha mkewe nyumbani.

Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa ilimbidi Kanye West awe “yaya” kwa siku hiyo ili angalau Kim Kardashian apumzike sababu watoto hao wamekuwa pasua kichwa mno, hivyo msanii huyo aliwachukua watoto ili kumpa muda wa peke yake mkewe.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey