Sambaza

Rich The Kid Mikononi mwa Polisi

JAPO taarifa hazijawa wazi sana, ila ni wazi kuwa msanii Rich The Kid amejikuta akiingia mikononi mwa polisi Jumamosi hii ya tarehe 25 Aprili, 2020.

Video zimezagaa zikimuonyesha msanii huyo akiwa amefungwa pingu na polisi na kisha kuingizwa kwenye gari la polisi hao.

Hata hivyo,  hakujawa na taarifa rasmi kwa nini msanii huyo alitiwa mbaroni na polisi hao.

Hii imekuja wiki moja tu tangu mpenzi wake aitwae Tori Brixx kukamatwa na polisi kwa kosa la kufanya fujo na kumvunja pua dada mmoja japo alikataa mashtaka hayo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey