Sambaza

Netflix Yaipiga Chini Filamu ya Idris Elba

Filamu ya Idris Elba iitwayo “Turn Up Charlie”  imebwagwa rasmi na mtandao mkubwa wa kusambaza filamu Netflix.

Filamu hiyo ya vichekesho yenye vipande 8 ambayo Idris Elba aliigiza kama Dj anayehangaika kuweka sawa maisha mwisho anajikuta kaangukia kwa rafiki yake maarufu ila sio kama DJ bali kama mlezi wa watoto.

Ilianza kurushwa mwezi Machi mwaka huu ila haijafanya vizuri kiasi cha kutosha hivyo imekosa nafasi ya kuendelea kusambazwa na kampuni hiyo.

Netflix waliandika “Turn Up Charlie msimu wa pili haitrushwa” kisha wakaendelea “tunafurahi kufanya kazi na Idris Elba na tutafurahi kufanya naye kazi zijazo.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey