Sambaza

Mtoto Akutwa Hai Bila Jeraha Kwenye Nyumba Iliyojaa Maiti

Polisi wa mji wa Milwaukee Nchini Marekani wamethibitisha kukuta miili mitano ya familia moja ndani ya nyumba moja mjini huko.

Polisi hao walipokea simu kutoka kwa mmoja wa wanafamilia aliyetoa taarifa zatukio hilo na kukuta maiti tano huku nne kati ya hizo ni vijana chini ya miaka 20.

Hata hivyo mtoto wa miaka mitatu amekutwa eneo la tukio akiwa hana jeraha ata moja na inaaminika kuwa muuaji aliamua kumuacha mtoto huyo.

Kituo cha polisi cha mji huo kimetoa taarifa kuwa mshukiwa namba moja ni mwanaume wa miaka 43 aitwaye Christopher Stoke.

Mahusiano ya mtoto huyo na marehemu hao bado haujawa bayana.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey