Apple Music Yavunja Rekodi ya Mapato
Mwezi uliopita kampuni yakuuza na kusambaza muziki ilitanua wigo kwa kuanzisha huduma kwenye nchi 52 duniani kote na Tanzania ilkuwa miongoni mwa nchi hizo.
Mwezi huu wa nne wametoa ripoti ya mapato waliyoingiza kwa kipindi cha miezi mitatu ambapo yamevunja rekodi ya mapato kwa muda huo anbapo wameingiza mapato ya dola za Marekani bilioni 58.3 kwa kipindi hicho.
Lucas Maestri ambaye ni miongoni mwa viongozi alisema “wateja wetu wananunua sana muziki, tunaendelea kupambana tuongeze kipato na tunahakikisha tunaendelea kupanda zaidi na zaidi, ni furaha kwetu kuona tunakuwa imara zaidi.”
Toa Maoni Yako Hapa