Sambaza

Billnas Afunguka kukataliwa na wazazi wa Nandy

Baada ya kudaiwa kuwa wazazi wa Nandy hawamtaki, msanii Billnas ameibuka na kueleza ukweli wa mambo.

Akizungumza na waandishi wa gazeti la Risasi, Billnas alisema “Unajua ukikaa na kuanza kusikiliza maneno ya mtandaoni utaumiza akili yako bure, kwa sababu asilimia kubwa ya watu wanaoongea hivyo hawajitambui.

“Sioni ajabu mimi kumfanyia surprise mpenzi wangu kwa sababu najua nini anapenda,” aliongeza Nenga na kuendelea kusema “tunafahamu suala la Corona  hivyo nisingeweza kuwaalika watu sababu ingekuwa kinyume na sheria za serikali kupunguza misongamano.”

Alipoulizwa kuhusu kukataliwa ukweni, msanii huyo alijibu “Sio kweli, lakini pia nisingependa kuwaongelea wakwe zangu kwenye vyombo vya habari kwa sababu ni watu wa dini ila najua wananipenda kama mtoto wao.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey