Sambaza

Maua Sama Amwagia Sifa Zuchu

Baada ya Zuchu kusajiliwa kwenye lebo ya WCB, msanii wa Bongo Fleva Maua Sama ameibuka na kumwaga sifa kemkem kwa msanii huyo.

Maua alisema Zuchu ni msanii ambaye alikuwa anamfatilia kwa muda mrefu na aliona uwezo wake kitambo kuwa anajua muziki, hivyo anamuombea siku moja awe na mafanikio makubwa.

“Zuchu mimi nilianza kumfatilia zamani sana, yupo vizuri anajua kuimba muziki namtakia kila lenye kheri na mafankio kwenye kila ambacho anakifanya,” alisema Maua Sama ambaye anatamba a wimbo wake wa Nionyeshe kwa sasa.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey