Sambaza

Harmonize Amaliza Video 14 za Album ya ‘Afro East’

KONDE BOY ametumia ukurasa wake wa instagram kudokeza uwepo wa nyimbo 14 ambazo tayari zimefanyiwa video.

Siku kadhaa nyuma, msanii huyo alisema kuwa aliamua kupunguza kasi ya kutoa video hizo ili kutoa nafasi kwa msanii wake mpya aliyemsajili kwenye lebo ya Konde Gang.

Hata hivyo kitendo cha Harmonize kuachia nyimbo zote zilizopo kwenye album kimekuwa na mitazamo mbalimbali kwa wadau wa muziki kwa sababu ni jambo ambalo limeanza kufanywa siku za karibuni.

Album ya “Afro East” ina nyimbo 17 na tayari video tatu zimeachiwa na msanii huyo ambazo ni “Uno,” “Mama,” na “Bedroom.”

Hata hivyo Harmonize hajaweka wazi ni lini mashabiki watarajie kutoka kwa video hizo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey