Octopizzo Aapa Kuimba Kuhusu Bangi Mpaka Ihalalishwe
RAPA nguli nchini Kenya, Octopizzo, ameazimia kuipigania bangi kupitia muziki wake.
Kupitia ukurasa wake wa twitter ambapo alikuwa akiunadi wimbo wake mpya uitwao “Che Che”, alisema atakuwa akiiimba mstari unaohusu bangi kwenye kila wimbo wake.
“Kuanzia sasa na kuendelea kila wimbo wangu utakuwa na mstari unaohusu bangi mpaka siku itakapohalalishwa,” alisema.
Toa Maoni Yako Hapa