Sambaza

Yemi Alade Atangaza Ujio wa Matamasha Yake

Licha ya kuwa bado virusi vya Corona vinaendelea kuitesa dunia mwanadada kutoka Nigeria ameweka wazi kuwa ujio wa tamasha lake uko karibu.

Toka mwanzo wa mwaka 2020 tasnia ya burudani imekuwa ikipumulia mashine kwa sababu ya uhaba wa matamasha mbalimbali ambao umesababishwa na kirusi cha Corona kilichopelekea wasanii na watayarishaji wa matamasha hayo kusitisha au kutoandaa matamasha mapya.

Hata hivyo baadhi ya nchi zimeanza kulegeza masharti ambayo awali yaliwekwa ili kukinga kuenea kwa ugonjwa huo hatari na msanii Yemi Alade ameamua kutumia upenyo huo kuanza upya mchakato wa kuandaa matamasha.

Kupitia ukurasa wake wa twitter mwanadada huyo aliweka wazi kuwa siku sio nyingi atatangaza tarehe za kufanyika matamasha hayo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey