Sambaza

Steve Harvey Anunua Mjengo Wa Tyler Perry Kwa Bilioni 34

Nguli wa vichekesho Steve Harvey na mkewe Marjorie wamenunua jumba alilokuwa akimiliki nguli wa filamu Tyler Perry kwa gharama ya dola za Marekani milioni 15 ambazo ni zaidi ya bilioni 34 pesa za Tanzania.

Mjengo huo upo ndani ya eneo lenye ekari 17 na una vyumba 7 vya kulala, bwawa la kuogolea, sehemu ya vinywaji (bar), uwanja wa kucheza tennis, sehemu ya mazoezi na nyumba ndogo ya wageni.

Jengo hilo lilinunuliwa na Tyler mwaka 2007 ambapo alimwaga mamilioni ya pesa kulimalizia ambapo aliishi humo kwa miaka 9 na mwaka 2016 aliuza jingo hilo kwa mwinjilisiti maarufu David Turner.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey