Sambaza

Kylie Jenner Anadanganya ili Aonekane Bilionea – Forbes

Mei 29mwaka huu jarida maarufu duniani Forbes lilivujisha siri kuwa nyota wa mitindo na urembo Kylie Jenner amekuwa akidanganya takwimu za fedha zake ili aonekane tajiri zaidi ya alivyo.

Jarida hilo limesema kuwa nyota huyo amekuwa akidanganya kuhusu “mapato ya kampuni” na amekuwa “akighushi nyaka za kodi,” na kusisitiza kuwa kampuni ya “Kylie Cosmetics” ni ndogo na yenye faida ndogo kuliko nyota huyo anavyojaribu kuonyesha.

Hata hivyo nyota huyo ametumia ukurasa wake wa twitter kujibu mashtaka hayo kwa kusema “Forbes wana takwimu zisizo za uhakika na kauli yao haina ushaidi.” Huku akisema kuwa ilo ni jambo la mwisho analojali kwa sasa.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey