Sambaza

Mashabiki Wamzodoa Akon Kufanya Wimbo na Takeshi 69

Mashabiki wa Muziki wameonekana kukasirishwa na kitendo cha Akon kuweka bayana kuwa amefanya kazi na Takeshi 69.

Mitandao ya kijamii hasa twitter ililipuka kwa kusema kuwa heshima yote aliyokuwa nayo Akon imepotea baada ya kufanya wimbo na msanii huyo ambapo wimbo huo ni remix ya wimbo wa Akon uitwao “Locked up.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey