Sambaza

“Hatujamlipa Magix Enga Pesa Yoyote” Muwakilishi wa Takeshi 69 Asema

Muwakilishi wa Takeshi 69 amefunguka na kusema kuwa hawajamlipa kiasi chochote cha pesa prodyuza wa Kenya         Magix Enga.

Awali Magix Enga alidai kuwa amepokea kiasi cha dola za Marekani 900 ili aweze kuruhusu kurudishwa kwa wimbo wa msanii Takeshi 69 uitwao “Gooba.”

Wimbo huo uliondolewa kwenye kurasa za Youtube kwa madai ya haki miliki iliyotolewa na prodyuza huyo wa Kenya.

Hata hivyo wimbo huo ulirudishwa na mpaka sasa unawatazamaji zaidi ya milioni 300.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey