Sambaza

Everton Yapewa Ruhusa Kutumia Uwanja wa Nyumbani Dhidi ya Liverpool

Mechi ya ligi kuu ya Uingereza baina ya Everton na Liverpool itapigwa kwenye uwanja wa Goodson Park ambao ni uwanja wa nyumbani wa Everton.

Awali kulikuwa na wasiwasi juu ya mashabiki wa timu hizi mbili kuwa huenda wangekusanyika nje ya uwanja na kuongeza hatari ya kusambaa kwa gonjwa la Covid-19

Hata hivyo tume ya usalama ya Baraza la jiji la Liverpool limependekeza kuwa mechi hiyo ambayo itapigwa juni 21 inaweza kuchezwa kwenye uwanja wa Everton ingawa bila mashabiki.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey