Sambaza

Neyo Awakasirisha Mashabiki kwa Kumshukuru George Floyd Kwa Kujitoa Mhanga

Neyo amekuwa akizungumza sana kuhusiana na mambo ya ubaguzi wa rangi na amekuwa akitumia jina lake kukemea matendo hayo

Alikuwa ni miongoni mwa waliohudhuria maziko ya George Floyd na aliimba kasha akaongea maneno ambayo hayakuwapendeza wengi.

Akiwa jukwaani, Neyo alisema kuwa kifo cha Floyd kilikuwa ni kujitoa mhanga.

“Nataka nimshukuru George Floyd kwa kujitoa mhanga ili wanangu wawe salama,” alisema Neyo

Kwenye mitandao ya kijamii mashabiki wengi wameonyesha kutopendezwa na kauli hiyo na kusema kuwa George Floyd aliuwawa na wala hakuomba kufanyiwa hivyo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey