Sambaza

Yeezy ya Kanye West Kujiingiza Kwenye Vipodozi

Kanye West ameamua kuvaa Yeezy na kuingiaa kazini. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baaada ya taarifa kusema kuwa kampuni yaake ya Yeezy ambayo imekuwa ikijishughulisha na mavazi na viatu kwa muda mrefu sasa inaingia rasmi kwenye masuala ya vipodozi.

Kampuni hiyo inaaminika kuwa inataka kupanua biashara yake na kuingia kwenye soko la kuuza vipodozi kama nyusi za bandia, mafuta ya kunyolea, rangi za kucha, mafuta ya kupaka, mafuta ya nywele na marashi.

Kama Kanye atafanikiwa kwenye hili atakuwa amefuata nyayo za mke wake Kim Kardashian West ambaye ana kampuni ya vipodozi inayoitwa KKW beuty line.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey