Sambaza

Bahati Akanusha Kutumiwa na Wasafi

Msanii kutoka Kenya amekanusha vikali tuhuma kuwa ametumwa naa Wasafi ili amtupie vijembe Hermonize.

Wiki iliyopita msanii huyo alimrushia maneno msanii kutoka Tanzania Hermonize kwa kusema amechuja tangu atoke Wasafi.

Jumapili, June 14 Bahati alitumia ukurasa wake wa Instagram kukanusha habari hizo na kuandika “nasikia mnasema nimetumwa, mimi sijatumwa sijaongea na mtu yeyote WCB, sioni mtu wa kunituma anilipe mimi nina pesa zangu.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey